
ATKV × Global Changemakers – Mkutano Wa Kimataifa Wa Vijana 2025 (Ufadhili Hadi Afrika Kusini)"
ATKV Pamoja Na Global Changemakers Inawaleta Pamoja Vinara Kutoka Pande Zote Za Dunia Kushiriki Katika Mkutano Wa Kimataifa, Wenye Lengo La Kuwapa Mafunzo Ya Uongozi, Ubunifu Na Kushirikiana Katika Kazi Huko Cape Town Nchini Afrika Kusini.
Maombi Yanapokelewa Kuanzia Tarehe 1 Hadi 25 Aprili Kwa Waombaji Wa Kimataifa, Na Tarehe 1 Hadi 25 Mei Kwa Waombaji Kutoka Afrika Kusini."
"Hii Ni Fursa Adimu Kwa Vijana Wenye Ndoto Kubwa, Usiikose.
#GYS2025
#GlobalChangemakers
Tuma Maombi Hapa: